Professional bookseller's independent website

Kuhusu Tovuti Yetu marelibri.com

Sisi ni wanani ?

Tarehe 22 oktoba 2007 lilizaliwa shirikisho/Marelibri.com. Shirika hili liliundwa kutoka katikati ya tovuti tano za bara la ulaya, zinazo jumuisha vitabu vilivyo tungwa katika zile nyakati za zamani na nyakati za sasa ; kwa lengo la kutimiza ule mlolongo wa kwanza kwa pamoja. Na tovuti hizo tano zilizoanzilisha mpango huu ni :

Hapo mwanzoni, shirika hili liliunda Lango kubwa lilioitwa /marelibri.com/

Lango hili kubwa hufungua njia ya kupitia tovuti-Shiriki, na hivyo basi wapendelevu wa vitabu wanakuwa na uwezo wa kujichagulia wenyewe miongoni mwa vichwa vikuu vikuu 20. 000. 000 vinavyo andikiwa kwenye mstari wa vitabu ; vinavyopangwa na karibu magazini ao duka 2000 zinazo uzisha vitabu.

Hesabu hizi ama idadi kubwa hii hufanya / marelibi.com kuwa mojawapo wa tovuti (sites) zile kubwa kubwa za vitabu vya zamani na vya sasa, Barani Ulaya.

Mnamo siku za hivi karibuni, twawapasha habari hii kwamba shughuli za shirika hili, hazitakomeshewa tu kwenye /marelibri.com/, bali, tutaweza kuwaandalia baadhi ya mikutano, mijadala, pamoja na maonyesho ya vitabu, pia tutayajibia maswali yenu kuhusu kitabu kile cha zamani na mambo mengine ya zaidi…

Shirika letu hujitafautisha kwanjia ya vitambulisho hivi vitatu kubwakubwa :

1 - Kila moja ya hizi tovuti (site) anzilishi, hutazamwa kama reference katika nchi ilikoanzia (Uholanzi, Ufaransa, Italia, Ujermani, Uhispania) bali, tuliamua kwamba ni vyema, tuimarishe kwa pamoja shughuli yetu, kupitia shirikishomoja la ulaya ili kuboresha kazi kwa wenye kuuzisha vitabu na wapendelevu wa vitabu. Ndio maana tumeweka juhudi zetu pamoja na kutiwa hamasa ili kuwatolewa kuogelea katika mtandao wa interneti kazi iliyorahisi na inayowezekana kwa uwepesi. Zaidi ya hayo, katika siku za usoni, tuna dhamiria kuongeza idadi (hesabu) ya tovuti (site) shirika.

2 - Tovuti zote zinazo shirikiana na /marelibri.com/ ni walau mashirika yenye kuuzisha vitabu ama ni mashirika binafsi ya wauzaji-vitabu maarufu. Tunafikiria kwamba mazoezi ya kikazi, ushirikiano wa pamoja na uhusiano katikati ya wauzaji wa vitabu (wa zamani) ndio funguo maalum ya kazi, tunayoweza kuwapa wauzaji nao wanunuaji wa vitabu.

3 - Wauzaji wa vitabu wote, ambao vitabu vyao hupatikana kupitia / marelibri.com/ni wauzaji-vitabu maarufu wenye kujitegemea. Hivi sasa kwa vile biashara ya vitabu vya zamani na vile vya kisasa imeanza kuzidi saana, na kuongezeka, huu ndio muda ulio mwafaka kuziboresha na pia kuzirahisisha kazi. Katika dunia (ama ulimwengu wa utandawazi) ambapo watu wasio na ambao ni wakorofi, lengo lao likiwa ni kuwapeleka kinyume wanaopendelea ku karibia ulimwengu wa vitabu. /Marelibri.com/huwapa wanunuzi pia wauzaji wa vitabu njiasahihi na bora inayo aminika.

Also available in these languages: Français, English, Português, Deutsch, Nederlands, Italiano, Español,